Mao Zedong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Mao Zedong''' (* [[26 Desemba]] [[1893]] / + [[9 Septemba]] [[1976]]) alikuwa [[kiongozi]] wa [[Chama cha kikomunistiKikomunisti cha China]] tangu [[1935]] hadi [[kifo]] chake na pia kiongozi mkuu wa [[China]] tangu [[1949]].
 
Aliongoza [[wakomunisti]] katika [[vita]] dhidi ya [[jeshi]] la [[Japan]] wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] na katika [[vita vya wenyewe kwa wenyewe yavya China]] dhidi ya [[serikali]] ya chama cha [[Kuomintang]] iliyoongozwa na dhidi ya [[jeshiChiang Kaisheck]] lavilipomalizika kwa [[Japanushindi]] wakati wawake [[vitamwaka]] kuu ya pili ya dunia[[1949]].
 
Mao alibadilisha [[itikadi]] ya [[Umarx-Ulenin]] kwa mahitaji ya wakomunisti wa China. Mwelekeo wake huitwa "Umao".
Mstari 7:
Alijaribu kujenga [[ukomunisti]] nchini kwa kutegemea [[wakulima]] kuliko [[wanafayakazi]] jinsi ilivyokuwa itikadi ya kawaida ya Ukomunisti.
 
[[Siasa]] yake ya ki[[uchumi]] ilisababisha [[njaa]] na vifo vingi. Kwa jumla ni watu [[milioni]] 35 hadi 70 wanaokadiriwa walikufa kutokana na njaa au mateso chini ya Mao.
 
Dhidi ya wapinzani wake ndani ya chama alianzisha tangu mwaka [[1966]] "[[mapinduzi ya utamaduni]]" iliyoharibu [[mapokeo]] mengi na sehemu kubwa ya [[urithi]] wa kihistoria ya China.
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
Mstari 15:
[[Jamii:Mao Zedong]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Uchina]]
Pia mao zedong alisaidia china kupata uhuru wake 1949 chini ya kiongozi wa chama cha koumintang Chiabg kai sheck.