Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

 
==Umiliki==
Ingawa [[umiliki]] wa aina ya biashara hutofautiana kwa mujibu wa <nowiki>[[sheria]]</nowiki>, kuna aina kadhaa za kawaida:
* ''Biashara ya mtu binafsi:'' ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
* ''Biashara ya ushirikiano:'' ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
183

edits