Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

no edit summary
 
* [[Kilimo]] na biashara ya [[uchimbaji madini]] hushughulika na uzalishaji wa malighafi, kama vile mimea au madini.
* Soko [[la fedha]] ni pamoja na mabenki na makampuni mengine ambayo huzalisha faida kupitia uwekezaji na usimamizi wa [[fedha za uwekezaji.]].
* [[Biashara za habari]] huzalisha faida kutokana mauzo ya haki milikihakimiliki na ni pamoja na [[biashara za video]] , wachapishaji na makampuni ya kuunda programu za tarakilishi.
* [[Watengenezaji bidhaa Viwandani|Watengenezaji bidhaa viwandani]] huzalisha [[bidhaa,]] kutoka [[malighafi]] au sehemu sehemu ya bidhaa, kisha huuza kwa faida. Makampuni ambayo huunda [[bidhaa]] , kama vile magari au mabomba, huchukuliwa kama watengenezaji wa bidhaa.
* Biashara [[isiyohamishika]] huzalisha faida kutokana na kuuza, kukodisha, na maendeleo ya mali, nyumba, na majengo.
* [[Wauzaji wa bidhaa za rejereja na wasafirishaji wa bidhaa zenyewe]] huingilia kati shughuli ya kuzitoa bidhaa kutoka kwa watengenezaji hadi kwa wateja,na kuzalisha faida kutokana na mauzo au usambazaji na kutoa huduma. Wengi wa wanabiashara wanaoshughulikia wateja moja kwa moja ni wasafirishaji wa bidhaa au wauzaji wa rejareja. ''Angalia(kwa piaKiingereza:'' [[Franchising]]).
* [[Biashara za kutoa Huduma]] ni biashara ambazo hupata faida yake kutokana na kutoa huduma fulani kwa wateja wake. Mashirika kama vile makampuni ya ushauri, mikahawa na hata watumbuizaji ni aina ya biashara za huduma . Pia kunamshipukokuna mshipuko mpya wa biashara za kutafutia wat kazi na vibarua ambazo pia ni biashara za kutoa huduma.<ref>{{Cite web|url=https://getvested.io/temp-agency/temp-to-hire/|title=Temp to Hire|author=Vested Technology|date=8 March 2018|language=en-US|work=Vested Technology Website|accessdate=19 July 2018}}</ref>
* [[Biashara ya Usafiri]] ni biashara ambayo hupata faida yake kupitia kuwasafirisha watu na bidhaa kutoka mahali pamoja hadi mahala pengine.
* Pia kuna makampuni yanayotoa huduma ya umma, kama vile joto, umeme, au uzoaji taka, na kwa kawaida huwa ni mashirika ya kiserikali.
 
Biashara ambazo zimefanywa za "umma" na usimamamizi mwingi sana kuhusu utawala wa ndani (kama jinsi malipo ya maafisa watendaji hudhamiriwa) na wakati na jinsi habari ni wazi kwa umma zao na wanahisa. Huko Marekani, kanuni hizi za kimsingi kusisitizwa na kutekelezwa na 'United States Securities and Exchange Commission' (SEC). Mataifa mengine ya Magharibi yana viungo vya udhibiti vwa kulinganishwa na hiki. Kanuni hizi husisitizwa na kutekelezwa na 'China Securities Regulation Commission' (CSRC), huko Uchina. Huko Singapore, mamlaka ya udhibiti ni 'Monetary Authority of Singapore' (MAS), na huko Hong Kong, ni 'Securities and Futures Commission' (SFC).
 
Ni vigumu sana kuzitaja sheria zote ambazo huathiri biashara. Kwa kweli, sheria hizi zimekuwa nyingi hadi kwamba hakuna mwanasheria yeyote wa biashara anayeweza kujifunza zote, na kulazimisha kampuni kuongeza umaalumu miongoni mwa wanasheria wake. Ni jambo la kawaida kwa wanasheria 5-10 kuhitajika hili kushughulikia aina fulani ya shughuli ya kibiashara, kutokana na jinsi sheria za kuelekeza biashara zilivyo nyingi. Sheria za kibiashara huhusu sheria za ushirika za ujumla , sheria ya ajira na kazi, afya , dhamana, 'M & A' (ambaye anashughulikia mambo ya ununuzi), kodi, 'ERISA'(ERISA Marekani inahusiana na mipango ya faida ya mfanyakazi), chakula na madawa ya udhibiti , umiliki (hushughulika na 'copyrights', ruhusa, 'Trademarks' na kadhalika), sheria ya mawasiliano ya simu, na zaidi.
 
Nchini Thailand, kwa mfano, ni lazima ''kujiandikisha'' kiasi fulani cha mtaji kwa kila mfanyakazi, na kulipa ada kwa serikali kwa kiwango cha mtaji kilichoandikishwa. Hakuna mahitaji ya kisheria kuthibitisha kuwa mtaji huu kweli hupo, kinachoitajika pekee ni kulipa ada yenyewe.