Kichocho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
}}
 
'''Kichocho''' (pia '''schistosomiasis''' au '''bilharzia''') ni [[ugonjwa]] ambao [[minyoo]] midogo ya aina ya [[schistosoma]] inaingia [[Mwili|mwilini]] na kusababisha uwasho[[mwasho]] wa [[ngozi]] katika [[viungo]] mbalimbali, unaosababisha [[homa]], [[udhaifu, kuwasha kwa ngozi]] na baada ya [[muda]] zaidi [[damu]] kwenyekatika [[kinyesi]] na [[maumivu]] [[Tumbo|tumboni]]. <ref>http://www.nhs.uk/Conditions/schistosomiasis/Pages/Introduction.aspx</ref>
 
==Habari za kimsingimsingi==
*Kuna takriban [[watu]] [[milioni]] 200 dunianidun[[i]]ani walioambukizwa na kichocho.
*[[Asilimia]] kubwa wanaishi [[Afrika]] penyekwenye maeneo ambako hadi [[nusu]] ya wakazi wote wameambukizwa <ref>[http://www.who.int/schistosomiasis/en/ http://www.who.int/schistosomiasis/en/ Schistosomiasis A major public health problem. World Health Organization. ] Iliangaliwa mnamo diesembadisemba 2015</ref>
*Hali ya ugonjwa inatokea ama polepole ambako [[wagonjwa]] mara nyingi hawana [[dalili]] kwa muda mrefu auama kwa mwendo mkali.
*[[Utambuzi]] wake hufanyika kwa kuchunguza kinyesi ([[mavi]], [[mkojo)]] au damu.
*[[Tiba]] kwa kawaida ni [[dawa]] ya [[praziquantel]]. Kama ugonjwa haukuendelea kwa muda mrefu mno wagonjwa wanaweza kupona kikamilifu wakitibiwa. <ref>[http://patient.info/health/schistosomiasis-leaflet Patient Info schistosomiasis], imeangaliwa Disemba 2015</ref>
 
==MaambukizoMaambukizi==
[[Picha:Kichocho, njia za schistosoma.jpg|thumbnail|500px|Mzunguko wa [[wadudu]] aina ya schistosoma kati ya [[binadamu]] na [[konokono]] na hali za maendeleo yao.]]
Minyoo ya aina ya schistosomaSchistosoma inaendelea kwa hatua zifuatazo:
* mnyoo mzima unatega [[mayai, ]]
* mayai yakifika katika [[maji]] yanabadilika kuwa [[lava]]
* lava zinatafuta [[konokono]] ya maji, zinaingia na kukomaa ndani ya konokono
* lava zilizokomaa zinatoka nje na kumtafuta binadamu, zikitoboa ngozi yake na kuingia katika mzunguko wa damu.
* lava zinazunguka mwilini hadi kufikia [[maini]], hapa zinakua kuwa minyoo wazima wenye [[urefu]] wa [[milimita]] 1-2 wanaokaa katika [[Mshipa|mishipa]] [[mishipa ya damu|ya damu]] wanapotaga mayai.
* mayai huvurugisha [[kinga cha mwilikingamwili]] na kusababisha kuwaka kwa mishipa ya ndani ya mwili (yaani ugonjwa mwenyewewenyewe), yanaingia katika viungo vya mkojo au [[utumbo mpana]] yanapotoka tena mwilini.<ref>[http://www.who.int/mediacentre/factsheets/fs115/en/ WHO Fact sheet N°115 on Schistosomiasis, updated May 2015], imeangaliwa disemba 2015</ref>
 
Kwa hiyo maisha ya schistosomaSchistosoma na nafasi ya maambukizi huhitajiːhuhitaji:
* mwili wa kibinadamubinadamu (au kwa aina nyingine: pia ya [[wanyama]] pia)
* konokono ya maji
* [[mazingira]] ambako konokono zinastawiwanastawi: maji ya [[bwawa]] au [[ziwa,]] penyeyenye [[mimea]] ya majini inayofaa kama [[chakula]] cha konokono
* watu wagonjwa wanakojolea kwenye maji au kuacha kinyesi chao mle
 
Kwa hiyo njia ya kuambukizwa ni kuingia katika maji penyeyenye konokono zilizoambukizwawalioambukizwa. Siku hizi karibu kila ziwa au bwawa katika Afrika huwa na hatari ya kichocho; hatari inapungua katika [[mito]] yenye mwendo wa maji au katika sehemu ya maziwa makubwa ambako kuna [[pwani]] pana ya [[mchanga]] bila mimea iliyo chakula cha konokono.
 
==UzuiajiKinga na Matibabutiba==
Taratibu wa kukinga dhidi ya [[maradhi]] haya ni pamoja na upatakanaji wa [[maji safi]] na upungufu wa [[idadi]] ya konokono. Katika maeneo ambako maradhi yanaambukiza zaidi, [[Kundi|makundi]] ya watu walio wengi wanaweza kutibiwa wakiwa pamojakwa wakati mmoja, kwa kuwapa mara moja yakwa mwaka na dawa iitwao praziquantel. Utaratibu huuhuo unakusudia kupunguza idadi ya watu wanaoambukizwa na kwa hivyo kupunguza kuenezwa kwake maradhi yenyewe. Praziquantel ni dawa inayopendekezwa na [[Shirika la Afya Duniani]] kwa ajili ya wale wanaojulikana kuambukizwa.<ref>[http://wwwnc.cdc.gov/travel/yellowbook/2016/infectious-diseases-related-to-travel/schistosomiasis CDC Yellow Book, chapter 3, Schistosomiasis] imeangaliwa disemba 2015</ref>.
 
Praziquantel ni dawa inayopendekezwa na [[Shirika la Afya Duniani]] kwa ajili ya wale wanaojulikana kuambukizwa.<ref>[http://wwwnc.cdc.gov/travel/yellowbook/2016/infectious-diseases-related-to-travel/schistosomiasis CDC Yellow Book, chapter 3, Schistosomiasis] imeangaliwa disemba 2015</ref>.
 
==Historia ya matibabu==
[[Picha:Bilharz theodor1.jpg|thumbnail|150px|Theodor Bilharz aliyetambua minyoo inayosababisha Kichocho]]
Ugonjwa na [[kidusia]] chake vilitambuliwa mara ya kwanza mnanmo [[mwaka]] [[1851 nchini Misri]] na mtibabu[[tabibu]] [[Mjerumani]] [[Theodor Bilharz]] alipochunguliaalipochunguza [[maiti]] katika [[hospitali]] [[moja]] [[Mji|mjini]] [[Kairo]], nchini [[Misri]] . Kwa hiyo ugonjwa umejulikana pia kwa [[jina]] la Bilharzia.
==Historia ya matibabu==
 
Ugonjwa na [[kidusia]] chake vilitambuliwa mara ya kwanza mnanmo mwaka 1851 nchini Misri na mtibabu Mjerumani [[Theodor Bilharz]] alipochungulia maiti katika hospitali moja mjini Kairo. Kwa hiyo ugonjwa umejulikana pia kwa jina la Bilharzia.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Category:magonjwa]]
[[Category:kidusiavidusia]]