Ritifaa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]
[[Umbo]] lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya [[mstari]].
[[Alama]] hiyo inaonyesha pengine kwamba [[herufi]] au [[silabi]] imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika [[shairi]], lakini katika herufi "ng'" inatofautisha [[fonimu]] husika na nyingine inayofanana (ng). Baadhi ya [[Neno|maneno]] yenye apostrofi ni [[ng'ombe]] na kung'ata.
Kwa [[Kiingereza]] ni alama inayotumika zaidi kuonyesha
{{mbegu-lugha}}
|