Liturujia ya Mesopotamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Amen in East Syriac Aramaic language.svg|thumb|120px|[[Amen]] kwa Kiaramu cha Mashariki.]]
[[Image:AssyrianmareliasnestorianbishopBishop Elias of Geogtapa (1831).jpg|thumb|right|150px|Mar Elias, [[askofu]] wa [[Kanisa la Waashuru|Kanisa la Mashariki]], [[karne ya 18]] - [[karne ya 19|19]].]]
'''Liturujia ya Mesopotamia''' ni [[liturujia]] maalumu yenye [[asili]] katika [[Mesopotamia]] ya kale, ambayo [[Mapokeo|kimapokeo]] inatajwa kama imetokana na [[Mtume Thoma]], na inatumiwa hasa na [[Wakristo]] [[Waashuru]] na [[Wakaldayo]] wa [[Iraq]] na nchi za kandokando, pamoja na [[Wamalabari]] wa [[India]] kusini, wengi wao wakiwa [[Wakatoliki]] na waliobaki [[Waorthodoksi wa Mashariki]], ambao wote wametokana na wale waliotengwa na [[Mtaguso wa Efeso]] ([[431]]).<ref>[http://books.google.com/books?id=otQeg8-xSlEC&pg=PA271&lpg=PA271&dq=Common+Christological+Declaration+between+the+Catholic+Church+and+the+Assyrian+Church+of+the+East&source=web&ots=Pi05Yxg7mK&sig=vAplJKOiYd2Tz-xIldCUwa7uyo4&hl=en&sa=X&oi=book_result&resnum=7&ct=result ]</ref><ref>Qurbana by Fr. Varghese Pathikulangara</ref>