Mto wa Nzoia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mto wa Nzoia''' ni [[mto]] wa [[Kenya]] unaotoka [[Mlima Elgon]] na kuwa na [[urefu]] wa [[kilomita]] 257 ([[maili]] 160). Unatiririkia [[kusini]] na kisha [[magharibi]] hatimaye unaingia katika [[Ziwa Viktoria]] karibu na [[mji]] wa [[Port Victoria]].
 
Mto huu ni muhimu kwa maeneo ya [[Magharibi]] mwa Kenya, ukipitia kwenye eneo linalokadiriwa kuwa na wakazi zaidi ya [[milioni]] 1.5. [[Maji]] yake hutumika kwa [[umwagiliaji]] wa [[mimea]] [[mwaka]] mzima, wakati [[mafuriko]] ya kila mwaka ya kuzunguka eneo amana ya [[Budalang'i]] husababisha [[mchanga]] unaochangia [[uzalishaji]] mzuri wa [[kilimo]] katika eneo hili.
 
Kwenye eneo la [[viwanda]] lililoko [[Webuye]], mto huingiwa na [[uchafu]] mwingi unaotoka kwenye viwanda vya [[karatasi]] na [[sukari]] katika eneo hilo.
 
Mto huu una [[idadi]] kubwa ya [[maporomoko ya maji]] ya kuvutia, na unakisiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha nguvu za [[umeme]] unaotokana na maji.
 
==Tazama pia==
== Viungo vya nje ==
* [[Mito ya Kenya]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://earthobservatory.nasa.gov/IOTD/view.php?id=35977 Mafuriko ya mto Nzoia] at [[NASA Earth Observatory]]
* [http://www.geonames.org Geonames.org]
 
{{Mito ya Kenya}}