Wambunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
/* Historia
Mstari 9:
 
Walijulikana kwa [[matamshi]] yao kuwa Wangoni, lakini wao walijiita Wambunga kwani wametokea mlima Mbunga. Hiyo ilitokana na kuchoshwa na vita, maana wote waliwatambua Wangoni kwa kupenda vita, kumbe kwa kusema hivyo wangebaki salama wenyeji wao wasiwadhuru, maana wakati huo Wangoni walishaanza uchokozi wa kivita na [[Muyugumba]], kiongozi wa Wahehe.
 
Kwa sasa Wambunga wanapatikana zaidi katika maeneo yafuatayo, Ifakara Mjini na vitongoji vyake, Kiberege na vitongoji vyake,Kisawasawa,baadhi ya maeneo ya Mang'ula,Mbingu na baadhi ya maeneo ya Mngeta,maeneo yote haya ni katika Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro,pia wanapatikana katika wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, hata hivyo iasemekana baadhi ya wambunga wapo katika maeneo ya nje ya Dar es salaam.