Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 54:
 
== Mwezi mali ya watu? ==
Hata kama [[Warusi]] na Wamarekani walifikisha [[bendera]] zao mwezini, hakuna anayedai [[mali]] huko. Katika [[mkataba wa kimataifa kuhusu anga waza nje]] nchi 192 za dunia zimepatana ya kwamba mwezi utaangaliwa sawa na maeneo ya kimataifa ya [[bahari]]. Walipatana pia ya kwamba itakuwa marufuku kupeleka [[silaha]] kali kama [[bomu la nyuklia|za nyuklia]] angani. [[Taifa|Mataifa]] mengi ya dunia yamejiunga na [[mkataba]] huo, isipokuwa nchi chache hasa za [[Afrika]] hazikutia sahihi kama vile [[Tanzania]].
 
Lakini kuna watu binafsi wanaodai mali ya mwezi.