Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 54:
 
== Mwezi mali ya watu? ==
Hata kama [[Warusi]] na Wamarekani walifikisha [[bendera]] zao mwezini, hakunahawadai anayedaikuwa na [[mali]] huko. Katika [[mkataba kuhusu anga za nje]] nchi 192 za duniaDunia zimepatanazimekubaliana ya kwambakuwa mweziMwezi utaangaliwa sawa na maeneo ya kimataifa ya [[bahari]]. Walipatana pia yaWalikubaliana kwambakuwa itakuwani marufuku kupeleka [[silaha]] kali kama [[bomu la nyuklia|za nyuklia]] angani. [[Taifa|Mataifa]] mengi ya duniaDunia yamejiungayametia nasahihi [[mkataba]] huo, isipokuwa nchi chache hasahususan za [[Afrika]] hazikutiaikiwemo sahihi kama vile [[Tanzania]].
 
Lakini kuna watu binafsi wanaodai kuwa na mali yakwenye mweziMwezi. Tangu mwaka 1980 yupo Mwamerika mmoja aliyefaulu kuandikisha Mwezi kwa jina lake kwenye ofisi ya msajili wa viwanda [[Mji|mjini]] [[San Francisco]] akiendelea kuuza hati za kumiliki maeneo mwezini. Kuna pia familia moja pale Ujerumani iliyorithi hati ambako mfalme wa Prussia kwenye mwaka 1756 alitoa zawadi ya Mwezi kwa mzee wao. Taasisi ya Sheria ya Anga za Nje ''(International Institute of Space Law)'' ilitoa tamko kuwa madai haya hayana msingi wa kisheria <ref>[http://www.iislweb.org/docs/IISL_Outer_Space_Treaty_Statement.pdf Statement by the Board of Directors of the International Institute of Space Law (IISL) on Claims to Property Rights Regarding the Moon and Other Celestial Bodies], International Institute of Space Law. 2004</ref>.
 
== Vyanzo ==