Muziki wa dansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Muziki wa dansi''' (au '''dansi''' tu) ni [[muziki]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ulianzishwa katika [[mji]] wa [[Dar es Salaam]] kunako [[miaka ya 1930]], na unapendeka leo hadi leo hii.
 
Muziki wa dansi unatokana na muziki wa [[soukous]] kutoka [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia.
 
Kwa kawaida, [[neno|maneno]] ya [[nyimbo]] ya muziki wa dansi ni kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]] tokea hapo awali na pia dansi huitwa "swahili jazz" kwa lugha ya [[Kiingereza]].
 
==Historia==
===Wakati wa Ujerumani na Uingereza===
Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa [[Tanga]]. Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia nchini. [[Wajerumani]] waliusambaratisha mji wa Tanga kwa mizinga kati mwaka 1888 na 1889. Na baada ya hapo kuujenga upya kwa kufuata mpangilio uliosababisha Tanga kuwa na mitaa maarufu kama barabara ya kwanza ya pili na kuendelea. Wajerumani walianzisha shule ya kwanza ya serikali Tanga 1892 na hapohapo wakanzisha bendi ya shule ya kwanza, pamoja na kuwa Wajerumani hawakutawala muda mrefu baada ya hapo lakini [[Waingereza]] waliiendeleza sana bendi hiyo iliyokuwa ikipiga aina mbalimbali za muziki wa kigeni.
 
 
Dansi ilianza kwanza kama klabu ambapo watu walialikana kuja kucheza aina mbalimbali za muziki wa kizungu mtindo maarufu unaojulikana kama ballroom dancing. Aina hizi za klabu zilianzia [[Mombasa]] na kuingia nchini kupitia Tanga na kisha kuletwa Dar Es Salaam na klab iliyokuwa maarufu Tanga iliyoitwa Tanga Young Comrades Club, klabu nyingine ilianzishwa ikaitwa New Generation Club ambayo ilianzisha matawi miji mbalimbali. Klabu hizi ndizo zilizozaa bendi za dansi. Inaonekana Dar Es Salaam ndio ilikuwa ya kwanza kuwa na bendi yake African Association Jazz Band, ambapo wanamuziki wengine waliihama na kuanzisha Dar Es Salaam Jazz Band, hiki kilikuwa kipindi kati ya miaka 1930 na 1940, kwenye 1950 kulikuwa na bendi maarufu [[Bagamoyo]] iliyoitwa Lucky Star jazz band ambayo ilikuwa na urafiki na Dar Jazz.
 
 
Baada ya hapo kulianza bendi ambazo wanamuziki na wanachama wake walipatikana kutokana na wanakotoka, kulikuweko na Ulanga Jazz band ya Wapogolo, Rufiji Jazz Band iliyoanzishwa na Wandengeleko, Western Jazz iliyoanzishwa kwanza na Wanyamwezi. Bendi zote hizi baadae zilikuja kuwa na wanachama mchanganyiko bila kujali uzawa. Na kulikuweko na Skokian Jazz Band hii ilikuwa ni bendi na klabu ya watu mchanganyiko. Mwaka 1958 wanamuziki kutoka [[Kilwa]] walianzisha Kilwa Jazz Band wanamuziki hawa walitoka bendi iliyoitwa Tanganyika Jazz.<ref>[http://mwakitime.blogspot.com/2010/02/ukitaka-kuongea-muziki-wa-dansi.html Historia ya muziki wa dansi katika Blogu ya Anko John Kitime]</ref>
 
Ilipofika 1966 bendi ilikuwa na wanamuziki takribani 26, 15 wakiwa Kilwa A na 11 Kilwa B. Zamani bendi zilikuwa na mtindo wa kuwa na bendi B ambayo ni ya Vijana. Patrick Balisdya aliwahi kuwa Dar Jazz B. Kilwa Jazz ilikuwa na wanachama kama 50 wengine wakiwa viongozi wa juu serikalini. Waliolipa ada ya uanachama na hivyo kuweza kuingia madansi ya bendi bila kulipa. Wakati huo makao makuu ya Kilwa Jazz yalikuwa katika ukumbi ambao kwa sasa unaitwa Kwa Madobi maeneo yaa Jangwani.
 
===Katika miaka ya 1920===
Muziki ulianzishwa kunako miaka ya [[1920]]-[[1930]], zikiwa na mandhari ya muziki wa "soukous" kutoka [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo-Kinshasa]], kwa kweli zilipendeka kote [[Afrika ya Mashariki]]. Katika Dar es Salaam, bendi nyingi zilifuatisha bendi za Kongo. Punde kwa punde, zingine ziliendeleza kuanzisha mitindo mipya, kwa mfano [[Dar es Salaam Jazz Band]], [[Morogoro Jazz]] na [[Tabora Jazz]].
Line 23 ⟶ 5:
 
Kunako miaka ya [[1960]]-[[1980]] muziki wa dansi uliendelea kwa ajili ya bendi bayana kama [[Orchestra Safari Sound]], [[Orchestra Maquis Original]], [[International Orchestra Safari Sound]], [[DCC Mlimani Park Orchestra]] na [[Vijana Jazz]]. Baadhi ya bendi kisasa ni [[Gari Kubwa]], [[Tokyo Ngma]] na [[Atomic Advantage]].
 
==Hulka==
Bendi nyingi za muziki wa dansi zilicharaza kila usiku, katika vilabu, mahoteli na kadhalika, na wanamuziki walipokezana. Kwa mfano Morogoro Jazz ilicharaza katika hoteli ya "Morogoro Hotel" ya [[Morogoro]]. Pia wanamuziki walikuwa wakifanyakazi kwa kulipwa, na bendi ilikuwa imikimiliki vyombo vya muziki. Wanamuziki mashuuri walibadili bendi mara nyingi, hata kuchuma zaidi na hatimaye kuanzilisha bendi zao. Kwa mfano [[Muhiddin Maalin]] na [[Hassani Bitchuka]] walicharaza katika mabendi mengi.
 
Kila bendi huwa na mtindo unatambulikana, na mwanamuziki hujikaribisha kwa mtindo wa bendi yao baada ya kuajiriwa. Kwa kawaida jina la mtindo larejea gungu, kwa mfano ''ogelea piga mbizi'' ya [[Orchestra Maquis Original]]. Wasanii wengine hujulikana kwa sababu huweza kuunda mitindo vizuri.
 
Kwa kawaida, nyimbo wa muziki wa dansi huanza polepole kusisitiza maneno na mwimbaji; kisha, hatua kwa hatua hukuwa haraka (kipande hiki huiitwa ''chemko''), na ngoma na magitaa huongeza kwa sauti.
 
Ushindani baina ya bendi kubwa ni muhimu kwa muziki wa dansi. Kwa mfano, [[Orchestra Maquis Original]] hushindana na [[Orchestra Safari Sound]] (kunako miaka ya [[1970]]-[[1980]]) na baadaye [[International Orchestra Safari Sound]] hushindana na [[Mlimani Park]]. Sherehe za muziki wa dansi hufanywa kama shindano pia.
 
==Bendi maarufu==
{| class="wikitable"
! '''Jina''' || '''Pia inajulikana kama''' || '''Kipindi/Miaka ya''' || '''Mahali''' || '''Mitindo''' || '''Wanamuziki maarufu'''
|-
| [[Dar es Salaam Jazz Band]] || Dar Jazz || 1930-1970 || [[Dar es Salaam]] || || [[Michael Enoch]]
|-
| [[Morogoro Jazz Band]] || || || [[Morogoro]] || || [[Mbaraka Mwinshehe]], [[Salim Adballah]]
|-
| [[NUTA Jazz Band]] || Juwata Jazz Band, OTTU Jazz Band || 1960- || || ||[[Joseph Lusungu]], [[Mnenge Ramadhani]], [[Muhiddin Maalim]], [[Hassani Bitchuka]], [[Saidi Mabera]], [[Abel Balthazar]]
|-
| [[Orchestra Maquis Original]] || || 1970- || Dar es Salaam || ''kamanyola'', ''zembwela'' || [[Chinyama Chianza]], [[Nguza Mbangu]], [[Dekula Kahanga]]
|-
| [[Orchestra Safari Sound]] || || 1970-1985 || || || [[Ndala Kasheba]]
|-
| [[Mlimani Park Orchestra]] || || 1978-? || || ''sikinde'' || Muhiddin Maalim, Hassani Bitchuka, Abel Balthazar, Michael Enoch, [[Cosmas Chidumule]], [[Shaaban Dede]], [[Maalim Kinyasi]]
|-
| [[Vijana Jazz]] || || 1980-1990 || || ||
|-
| [[International Orchestra Safari Sound]] || IOSS || 1985-? || || ''ndekule'' || Muhiddin Maalim, Hassani Bitchuka, Abel zBalthazar, Nguza Mbangu
|}
Zahir ally
zolo
 
==Viungo vya nje==
* Werner Graebner, [http://web.archive.org/19981206182403/members.aol.com/dpaterson/muziki.htm Muziki wa Dansi]
 
[[Category:Muziki wa Tanzania]]
[[Category:Mitindo ya muziki]]