Wambunga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
/* Historia |
No edit summary |
||
Mstari 10:
Walijulikana kwa [[matamshi]] yao kuwa Wangoni, lakini wao walijiita Wambunga kwani wametokea mlima Mbunga. Hiyo ilitokana na kuchoshwa na vita, maana wote waliwatambua Wangoni kwa kupenda vita, kumbe kwa kusema hivyo wangebaki salama wenyeji wao wasiwadhuru, maana wakati huo Wangoni walishaanza uchokozi wa kivita na [[Muyugumba]], kiongozi wa Wahehe.
Kwa sasa Wambunga wanapatikana zaidi katika maeneo yafuatayo
{{Makabila ya Tanzania}}▼
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Mbunga}}
▲{{Makabila ya Tanzania}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Kilombero]]
|