Tofauti kati ya marekesbisho "Muundo"

2 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
'''Muundo''' katika [[lugha]] ni mpangilio na mtiririko wa visa na matukio katika kazi ya [[Fasihi|kifasihi]]. Hapa tunachunguza jinsi [[msanii]] wa kazi hiyo it alivyounda na alivyounganisha tukio moja na jingine, kitendo kimoja na kingine, sura moja na nyingine. Tunapohakiki muundo katika kazi ya kifasihi, hasa [[riwaya]] na [[tamthilia]], kuna mambo ya kuzingatia. Mambo hayo ni:
* Aina ya muundo
* Mgawanyo wa kazi hiyo
* Umbo la kazi hiyo
 
== Aina za muundo ==
Anonymous user