Ukubwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ukubwa''' ni hali ya mwonekano wa kitu au vitu ambapo huenda ikawa ni mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:42, 23 Novemba 2018

Ukubwa ni hali ya mwonekano wa kitu au vitu ambapo huenda ikawa ni mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo, kiasi, au molekuli. Na vile vile ukubwa hupimwa kwa vifaa mbali mali ikiwa ni pamoja na rura, mzani na vipimo vingine.

Kiungo

[1]

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Size