Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 57:
Mwanzo wa karne ya 20 mpangilio wa kundinyota haikuridhisha bado kwa sababu katika sehemu za anga mipaka kati ya kundinyota haikueleweka vema. Hivyo iliamuliwa kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (IAU) mwaka 1922 huko Roma kufafanua idadi ya kundinyota kuwa 88<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], iliangaliwa Mei 2017</ref>. Mwanaastronomia [[Eugène Delporte]] kutoka [[Ubelgiji]] alipewa kazi ya kupanga eneo lote la anga kwa makundi na kuchora mipaka kati ya kundinyota. Tokeo la kazi yake lilikubaliwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka 1928.
 
== Kundinyota na utabiri katika [[unajimuUnajimu]] ==
Kundinyota zimekuwa muhimu kwa ajili ya [[unajimu]]. Ni hasa kundinyota 12 za [[Zodiaki]] zinazodaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye [[horoskopi]]. Waswahili wa kale walirithi kundinyota hizi kutoka elimu ya Waarabu na kuziita [[buruji za falaki]]<ref>[https://archive.org/stream/EncyclopaediaDictionaryIslamMuslimWorldEtcGibbKramerScholars.13/08.EncycIslam.NewEdPrepNumLeadOrient.EdEdComCon.BosDonLewPel.etc.UndPatIUA.v8.Ned-Sam.Leid.EJBrill.1995.#page/n115/mode/2up/search/NUDJUM J Knappert, fungu "In East Africa", makala AL-NUDJUM katika THE ENCYCLOPAEDIA OF ISLAM, LEIDEN BRILL 1997, VOLUME VIII NED — SAM, uk 105]</ref>