Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
Mawazo ya [[wachoraji]] kuhusu kani ya mvutano.]]
[[Picha:ParabolicWaterTrajectory.jpg|thumbnail|Mwendo wa [[maji]] yanayotoka kwenye [[nozeli]] kuelekea juu unabadilishwa mwelekeo wake kwa umbo la [[parabola]] kutokana na nguvu ya graviti ya dunia.]]
'''Graviti''' (kutoka [[Kiingereza]]: "gravity"; pia: '''kani ya mvutano''', '''nguvu za uvutanokanimvutano''', '''nguvu mvutanoya uvutano''', '''Kaninguvu mvutano''') ni [[kani]] ya uvutano iliyopo kati ya [[gimba|magimba]] yote ya [[ulimwengu]]. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ndiyo sababu ya kwamba tunatembea [[ardhi]]ni badala ya kuelea [[Hewa|hewani]]: kwa sababu masi ya [[Dunia]] inatuvuta kuelekea [[kitovu]] chake. Sisi tuna uvutano kwa dunia pia, lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kwa sababu masi yetu ni ndogo kulingana na masi kubwa ya Dunia. Wakati huohuo Dunia yetu inavutwa na [[Jua]] na hii ndiyo sababu ya kwamba Dunia inazunguka Jua katika [[obiti]] na haiwezi kukimbia mbali nayo.