Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
== Tofauti ya unajimu na astronomia ==
Unajimu na [[astronomia]] zilianza pamoja kama kazi ileile zikaendelea hivyo kwa karne nyingi. Tangu mwanzo wa [[sayansi]] ya kisasa takriban miaka 500 iliyopita wataalamu walitambua tabia za nyota kuwa magimba ya angani yenye sifa za ki[[fizikiakifizikia]] sio pepo, roho au miungu zinazoweza kutawala dunia au wanadamu. Kwa hiyo njia za unajimu (astrolojia) na astronomia zimeachana tangu karne kadhaa. Lakini miaka 400 iliyopita wanasayansi muhimu kama [[Tycho Brahe]], [[Johannes Kepler]], [[Giordano Bruno]] au [[Galileo Galilei]] walitengeneza horoskopi, ingawa waliweka misingi ya astonomia ya kisasa.
[[Picha:Antiquities of Mexico, 1831; Aztec zodiac man Wellcome L0020862.jpg|thumbnail|Uchoraji wa Meksiko ya Kale unaonyesha zodiaki ya kundinyota za unajimu wa Waazteki]]
 
== Asili ya unajimu ==
Tangu mwanzo wa historia wanadamu katika sehemu mbalimbali za dunia walitazama nyota.