Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumb|300px|right|Jabari (Orion) kama mvindaji alivyowazwa na [[Johann Bayer]] wakati wa karne ya 17]]
[[Picha:Planisphæri cœleste.jpg|400px|thumb|Ramani ya anga inayoonyesha kundinyota kwa picha (uchoraji wa karne ya 17, Uholanzi)]]
'''Kundinyota''' (kwa [[ing.Kiingereza]]: ''star constellation'') ni [[idadi]] ya [[nyota]] zinazoonekana [[Anga|angani]] kuwa kama [[kundi]] la pamoja[[moja]].
 
==Kusudi la kupanga nyota katika kundinyota==
Tangu zamani [[watu]] walitazama nyota kama [[nukta]] na nyota za jirani kama kundi. Waliwaza kundinyota kuwa [[picha]] wakichora mistari kati yaoyake, hivyo kuona picha za watu, [[wanyama]] au [[miungu]] yao. Kundinyota zinazojulikana sana ni kama vile [[Jabari]] (''[[:en:Orion]]''), Akarabu (''[[:en:Skorpio]]''), [[Mara]] (''[[:en:Andromeda]]'') au [[Salibu]] (''[[:en:Southern Cross]]'').
 
Kujumlisha nyota hivi nyota kwa makundi ilikuwakulikuwa msaada kwa watu kukumbuka na kutambua nyota.
 
Hali halisi nyota hizi hazina uhusiano kati yaoyake, zinaonekana tu kama kundi kwa mtazamaji aliye duniani lakini haziko mahali pamoja katika [[anga la nje]]. Zinaweza kuwa mbali sana kutoka nyota nyingine inayoonekana iko ndani ya kundinyota ileile.
 
Hivyo kundinyota ni tofauti na [[fungunyota]] ''([[:en:star cluster]]) '' ambayo ni idadi kubwa ya nyota zilizopo kweli karibu eneo moja angani hali halisi. Ila tu kwa [[jicho]] tupu fungunyota inaonekanalinaonekana kama nyota moja tu au haionekanihalionekani kutokana na [[umbali]], zimetambuliwa kwa hadubini[[darubini]] tu. [[Kilimia]] (''Pleiades'') ni fungunyota yala pekee inayowezalinaloweza kutambuliwa bila msaada wa mitambo na hivyo ni maarufu kama kundinyota pia.
 
Kwa jumla ilikuwaulikuwa msaada wa kutofautisha maeneo angani kama nyota ziliweza kutajwa kuwepo katika eneo la kindinyotakundinyota fulani linalokumbukwa kirahisikwa rahisi kutokana na ruwaza ya nyota.
 
[[Elimu]] hii ilkuwailikuwa msaada hasa kwa watu waliosafiri wakati wa [[usiku]] kama [[mabaharia]] na pia [[wafugaji]] katika [[mazingira]] ya [[Jangwa|jangwani]]. Walizoea kutumia nyota kama mielekezo ya njia zao.
 
== Mfano wa Jabari (''Orion'') ==
Mstari 28:
 
==Historia ya kundinyota==
[[Tamaduni]] nyingi zilipanga nyota kwa makundi. Kuna [[mapokeo]] tofautitofauti hadi leo kati ya mapokeo ya [[Ustaarabu wa magharibi|Kimagharibi]], ya [[Uhindi|Kihindi]] na ya [[Uchina|Kichina]].
 
Mpangilio unaotumiwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia) uliamuliwa mwaka [[1922]] kwenye msingi wa [[elimu ya nyota]] ya [[Ugiriki ya Kale]] jinsi iliyoelezwa wakati wa [[karne ya 2]] [[BK]] katika [[kitabu]] cha [[Almagesti]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] wa [[Misri]] alimotaja kundinyota 48. Ptolemaio aliandika hitimisho ya [[elimu]] ya siku zake iliyoandaliwa na [[wanaastronomia]] waliomtangulia kama [[Hipparchos wa Nikaia]] na [[Eratosthenes]]. [[Wagiriki]] wenyewe waliendeleza tu elimu ya [[wataalamu]] wa [[Babeli]] waliowahi kuorodhesha nyota na kuzipanga kwa makundi.
 
Kitabu cha Ptolemaio kilifasiriwa kwa [[Kiarabu]] katika [[karne ya 9]] wakati [[Waislamu]] walitawala sehemu kubwa za nchi zenye utamaduni wa Kigiriki na kuwa msingi kwa maendeleo ya astronomia katika ustaarabu wa Kiislamu. Kwa jumla Waislamu walipokea mpangilio wa nyota kutoka Wagiriki na kufasiri majina ya kundinyota. Kuanzia [[karne ya 12]] vitabu vya Kiarabu vilifasiriwa kwa Kilatini nahivyo kupatikana kwa mataifa ya [[Ulaya]] ambako vitabu vya Wagiriki wenyewe vilipotea. Hapo majina mengi ya Kiarabu kwa nyota mbalimbali yalipokelewa katika lugha za Ulaya.
Mstari 36:
Baada ya uenezaji wa mataifa ya Ulaya funiani kupitia wapelelezi kama [[Kristoforo Kolumbus]], [[Vasco da Gama]], [[Ferdinand Magellan]] na [[Pieter Dirkszoon Keyser]] wanaastronomia wa Ulaya walipokea taarifa na ramani za nyota za nusutufe ya kusini ya dunia na kuongeza kundinyota kwa ajili ya nyota ambazo hazikujulikana kwao bado. Hapo alikuwa hasa Mholanzi [[Petrus Plancius]] aliyetangaza kundinyota mpya 12 kenye [[globu ya nyota]] yake.
 
Mnamo mwaka 1603 Mjerumani [[Johann Bayer]] alibuni mfumo wa kutaja nyota ambao kimsingi unaendelea kutumiwa hadi leo<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ]</ref>. Alipanga nyota zilizoonekana na alizojua kwa kundinyota ambako zimo halafu aliongeza herufi kwa kila nyota ndani ya kundi kufuatana mwangaza. Kwa hiyo nyota angavu zaidi katika kundinyota ilipewa [[herufi ya Kigiriki]] [[Alfa]] ( <big>α</big>), iliyofuata kwa mwangaza [[Beta]] (<big>β</big>) na kadhalika. Mfumo huu unajulikana kama [[majina ya Bayer]] ''([[ing.]] [[:en:Bayer designation|Bayer designations]])''
 
Bayer hakupanga ufuatano kikamilifu jinsi sisi tunavyoona mwangaza leo hii. Wakati mwingine alipanga nyota zenye mwangaza wa kufanana pamoja na kuzipa herufi kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini.
Mstari 53:
 
==Kundinyota katika astronomia ya kisasa==
<sup>Tazama piamakalapia makala: [[Kundinyota zote za Ukia]] </sup>
 
Mwanzo wa karne ya 20 mpangilio wa kundinyota haikuridhisha bado kwa sababu katika sehemu za anga mipaka kati ya kundinyota haikueleweka vema. Hivyo iliamuliwa kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (IAU) mwaka 1922 huko Roma kufafanua idadi ya kundinyota kuwa 88<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], iliangaliwa Mei 2017</ref>. Mwanaastronomia [[Eugène Delporte]] kutoka [[Ubelgiji]] alipewa kazi ya kupanga eneo lote la anga kwa makundi na kuchora mipaka kati ya kundinyota. Tokeo la kazi yake lilikubaliwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka 1928.