Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumbnail|MvindajiMwindaji [[Orion]]: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.]]
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''') ni mafundisho juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama amani, vita au maafa.