Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumbnail|Mwindaji [[Orion]]: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.]]
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''' kutoka Kiingereza: "astrology") ni mafundisho yasiyo ya [[sayansi|kisayansi]] juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] na [[maisha]] hapa [[duniani]]. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama [[amani]], [[vita]] au [[maafa]].
 
Kuna aina nyingi za unajimu:
* wengine wanataka kugundua mwendo wa [[dunia]] na [[utabiri]] wa mambo yajayo kutokana na nyota
* wengine wanaamini ya kwamba [[tabia]] za mwanadamu zinatokana na hali ya nyota wakati wa kuzaliwa kwake
* wengine wanaona nyota kama [[alama]] za [[miungu]] au nguvu za [[mbinguni]].
== Tofauti ya unajimu na astronomia ==
Unajimu na [[astronomia]] zilianza pamoja kama [[kazi]] ileile zikaendelea hivyo kwa [[karne]] nyingi. Tangu mwanzo wa [[sayansi]] ya kisasa takriban miaka 500 iliyopita [[wataalamu]] walitambua tabia za nyota kuwa [[magimba ya angani]] yenye sifa za ki[[fizikia]] siosi [[pepo]], [[roho]] au miungu zinazowezawanaoweza kutawala dunia au wanadamu. Kwa hiyo njia za unajimu (astrolojia) na astronomia zimeachana tangu karne kadhaa. Lakini miaka 400 iliyopita [[wanasayansi]] muhimu kama [[Tycho Brahe]], [[Johannes Kepler]], [[Giordano Bruno]] au [[Galileo Galilei]] walitengeneza [[horoskopi]], ingawa waliweka misingi ya astonomiaastronomia ya kisasa.
[[Picha:Antiquities of Mexico, 1831; Aztec zodiac man Wellcome L0020862.jpg|thumbnail|Uchoraji wa Meksiko ya Kale unaonyesha zodiaki ya kundinyota za unajimu wa Waazteki]]
 
== Asili ya unajimu ==
Tangu mwanzo wa [[historia]] wanadamu katika sehemu mbalimbali za dunia walitazama nyota.
 
Nyota zinaonekana wakati wa [[usiku]] kwa kufuatana na mwendo wa dunia yetu kuzunguka [[jua]]. Kwa namna hiyo kuonekana kwa nyota kunalingana na [[majira]] ya mwaka. Kwa hiyo katika dunia kabla ya kupatikana kwa [[kalenda]] watazamaji wa nyota waliweza kutabiri mabadiliko ya [[hali ya hewa]], kuja kwa majira ya [[mvua]], [[baridi]], [[joto]] na kadhalika. Kati ya nyota zilizotazamiwazilizotazamwa hivyo ni, kwa mfano, K[[kilimia|ilimiaKilimia]] na [[Zuhura]].
 
Kwa mfano kuonekana kwa nyota fulani (hii inategemea mahali duniani) inaweza kuwa alama ya kwamba mvua ni karibu, au majira ya baridi inaanzayanaanza. Sababu yake ni ya kwamba nyota huonekana kwa vipindi fulani wa mwaka tu; wakati wa [[Mwezi (wakati)|miezi]] mingine zingeonekana wakati wa [[mchana]] ambako [[nuru]] ya jua inaficha nyota zote hazionekani tena. Masaa[[Saa]] za usiku kuna vipindi ambako nyota fulani zinaonekana vizuri angani juu kabisa na kwa njia hiyo zinaweza kutambuliwa kama [[ishara]] za majira.
 
Leo hii watalaamu wengi huamini ya kwamba hapo ndipo msingi muhimu wa [[imani]] ya kwamba nyota zinaathiri maisha duniani.
 
Watu wa kale walikuwa hodari sana kutazama nyota na kutambua mabadiliko yaoyake katika mwendo wa [[wakati]]. Hali hii haieleweki kirahisikwa urahisi na watu wa leo, waliozoea [[nuru]] ya [[taa]] za [[umeme]], wakitumia wakati wa usiku kutazama [[TV]] au [[kompyuta]]. Lakini kwa watu wa kale - jinsi ilivyo hadi leo kwa watu wengi [[Kijiji|vijijini]] au [[Pori|porini]] - nyota na [[Mwezi (wakati)|mwezi]] zilikuwa taa, hasa wakati wa usiku.
 
Uhusiano ulioonekana kati ya mabadiliko ya nyota na mabadiliko ya majira yalianzisha [[elimu]] ya [[kalenda]] pamoja na elimu ya [[unajimu]] na [[astronomia]].
 
Kwa [[wazee]] hawahao ilionekana kama nyota fulani inatawala majira, hali ya hewa na hivyo maisha ya kibinadamu[[binadamu]] kwa sababu maisha ya [[jamii]] yalitegemea majira na mwendo wa mvua, [[ukame]], baridi au joto. Hapo ni [[asili]] ya kuziangalia nyota kama miungu au pepo zenyewenye uwezo fulani. Hasa tabia ya hali ya hewa ya kuchelewa au kuwahi kidogo ilijenga imani ya kwamba kuchelewa kwa mvua ni [[dalili]] ya [[hasira]] ya [[mungu]] yule anayeonekana katika nyota fulani.
 
[[Picha:Astro signs.svg|thumbnail|Alama kwa kundinyota 12 za Zodiaki katika mapokeo ya Ulaya; zinadaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye horoskopi.]]
Mstari 31:
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]]. Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yao hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyota 12 za aina hii zilizorudia kila mwaka kukaa juu kwenye anga wakati wa mwezi fulani. Kundinyota hizi zilichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa kundinyota zilizoaminiwa kuwa muhimu. Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuw na tabia fulani na mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizi kuwa tabia zilezile na kuwa. Hizi kundivyota za zodiaki ziliunganishwa na athira iliyoaminiwa kutokea kwa sayari ambazo zilipewa pia tabia zao. Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Hadi leo chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" [[magazeti]] mengi huchapisha namna za [[utabiri]] wa kila [[wiki]] kwa watu kufuatana na [[tarehe]] zao za kuzaliwa.
* [http://www.best-astrologyinfo.com/index.php Astrology Zodiac]
* [http://wshao.blogspot.com/2007/02/kuna-uhusiano-wowote-kati-ya-sayansi-na.html William Shao: Kuna uhusiano wowote kati ya unajimu na sayansi? (2007)]
{{mbegu-dini}}
 
 
[[Jamii:Dini]]