Salibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ msalaba
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Crux constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Crux - Salibu]]
 
'''Salibu''' ''([[:en:Crux]], au Southern Cross)'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Crux" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Crucis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Crucis, nk.</ref> ni [[kundinyota]] mashuhuri yenye umbo la [[msalaba]] kwenye [[nusutufe ya kusini]] au angakusi ya Dunia. Salibu iko kati ya kundinyota zinazotambuliwa kirahisi<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Ni kundinyota ndogo lakini nyota zake kuu zina [[uangavu]] mzuri wa 2.8 [[mag]] au zaidi.
 
==Mahali pake==