Tofauti kati ya marekesbisho "Masi"

154 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Masi''' (''kutoka [[Kiingereza]]: "mass"; kwa [[Kiswahili]] pia: '''Tungamo''''') katika [[elimu]] ya [[fizikia]] ni [[tabia]] ya [[mata]], na kwa njia hii pia tabia ya [[gimba]] au [[dutu]].
 
[[Kipimo sanifu cha kimataifa]] cha masi ni [[kilogramu]]. [[Alama]] yake katika [[fomula]] kwa kawaida ni <math>m</math>.
 
==Masi na uzani==
Masi ni tofauti na [[uzani]] lakini katika [[maisha]] ya kawaida hatuoni tofauti. Hivyo tunatumia [[kipimo]] cha kilogramu pia kwa kutaja uzani wa [[sukari]] tunayonunua. Lakini hali halisi uzani wa gimba au masi ileile ni tofauti kutegemeana na [[graviti]] mahali ilipo. Kwa mfano [[mtu]] akifika mwezinijuu ya [[mwezi]] uzani ni sehemu ya [[sita]] ya uzani wake [[duniani]]. Kwa hiyo mtu mweyemwenye uzito wa kilogramu 60 duniani atakuwa na kilogramu 10 pekee akipimwa mwezinijuu ya mwezi. Sababu yake ni ya kwamba graviti ya mwezi ni ndogo kuliko duniani.
 
==Masi na graviti==
[[Graviti]] ya gimba fulani inategemeana na masi yake. Kila kitu hata gimba dogo kama [[jiwe]], [[meza]] au mtu kinalina graviti yake. Ila tu masi kubwa ya [[dunia]] yetu inafanya graviti yake yaani nguvu inayosababisha ya kwamba watu na vitu havielei [[Hewa|hewani]] bali kukaa kwenye uso wa ardhi tukivutwa kuelekea [[kitovu]] cha [[sayari]] yetu. Vitu vyote vinyvoshikwavinavyoshikwa na graviti ya dunia vina graviti yao vilevile lakini kwa sababu masi ya watu na vitu ni ndogo kabisa kuliko masi ya dunia hatuwezi kusikia tofauti. Pia mwezi unavutwa na graviti ya dunia yetu lakini masi ya mwezi ni kubwa kiasi kwamba graviti ya [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] inaathiri pia dunia. Hii inaonekana kirahisi kutokana na mabadiliko ya [[bahari]] kuwa [[maji kujaa na kupwa]] yanayosababishwa na uvutano wa graviti ya mwezi.
 
==Masi na inesha==
Masi inafanya pia [[inesha]] (''inertia'') ya gimba fulani. Inesha ni tabia ya masi kubakiakubaki katika hali yake ya kutulia au kuwa na mwendo fulani hadi iathiriwe na nguvu ya nje. Masi kubwa zaidi huwa na inesha kubwa zaidi na inahitaji nguvu kubwa zaidi kwa kubadilisha mwendo wake. Tunaiona kirahisikwa urahisi tukijaribu kusukuma [[baisikeli]], [[gari]] au [[lori]]: masi zaozake ni tofauti, hivyo nguvu inayohitajika kuzisukuma au kuzisimamisha inatofautiana.
 
.
{{mbegu-fizikia}}