Mzunguko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Obiti''' ([[ing.]] '''orbit'''; ''kutoka [[lat.]] orbita "njia, mzunguko"''; pia: '''njia mzingo''') ni njia inayotumiwa na [[gimba la angani]] linalozunguka gimba kubwa zaidi katika anga la ulimwengu ilhali inashikwa na [[graviti]]. Mfano wake ni mwendo wa [[sayari]] inayozunguka [[jua]], au [[mwezi]] unaozunguka [[sayari]] yake, au [[satelaiti]] inayozunguka [[dunia]].
 
==Uwiano wa kani katika obiti==
('''Njia mzingo''')
Fizikia ya obiti inatazama kani au nguvu mbili. Ya kwanza ni [[velositi]] ya gimba dogo inayoelekea kwenda mbele mbali na mahali pake. Ya pili ni [[graviti]] inayovuta gimba dogo kuelekea gimba kubwa. Obiti iko pale ambako hizi ngvu mbili zinalingana. Kama kani ya velositi ingekuwa kubwa zaidi gimba dogo lisingezunguka bali kutoka. Kama kani ya graviti ingekuwa kubwa zaidi gimba dogo linaanguka chini.