Mzunguko : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Orbital motion.gif|thumb|200px|Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti) linalozunguka gimba kubwa (kama dunia); <br>kani ya velositi "'''v'''" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti "'''a'''" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka.]]
[[Picha:Newton Cannon.svg|300px|thumbnail|Mfano wa "Mzinga wa Newton"]]
'''Obiti''' (kutoka [[
==Uwiano wa kani katika obiti==
Fizikia ya obiti inatazama kani au nguvu mbili.
*Ya pili ni [[graviti]] inayovuta gimba dogo kuelekea gimba kubwa. Obiti iko pale ambako hizi ==Mfano wa "Mzinga wa Newton"==
[[Mwanafizikia]] [[Isaac Newton]] aliwaza mfano unaoeleza vizuri kani zinazoathiri obiti. Aliwaza mfano wa [[mzinga]] unaosimamishwa juu ya mlima mrefu. Mzinga huu unaweza kurusha [[risasi]] kwa mwelekeo wa [[ulalo]] tena kwa kasi mbalimbali. Athira ya msuguano wa hewa dhidi ya risasi aliacha kando au kuwaza mlima mrefu kiasi cha kufikia juu ya angahewa ya dunia.
*Kama mzinga unarusha risasi yake kwa velositi ndogo itaenda mbele kiasi halafu kuanguka chini '''(A)'''.
Mstari 34:
Kipindicha obiti ya mwezi wetu ni siku 1; wakati huohuo unazunguka mara moja kwenye mhimili wake na hii ni sababu ya kwamba tunaona muda wote upande uleule wa mwezi wetu.
{{mbegu-fizikia}}
[[Category:Astronomia]]
|