Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumbnail|Mwindaji [[Orion]]: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.]]
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''' kutoka [[Kiingereza]]: "astrology") ni mafundisho yasiyo ya [[sayansi|kisayansi]] juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] na [[maisha]] hapa [[duniani]]. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama [[amani]], [[vita]] au [[maafa]].
 
Kuna aina nyingi za unajimu:
Mstari 29:
 
== Horoskopi ==
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]].
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]]. Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yao hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyota 12 za aina hii zilizorudia kila mwaka kukaa juu kwenye anga wakati wa mwezi fulani. Kundinyota hizi zilichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa kundinyota zilizoaminiwa kuwa muhimu. Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuw na tabia fulani na mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizi kuwa tabia zilezile na kuwa. Hizi kundivyota za zodiaki ziliunganishwa na athira iliyoaminiwa kutokea kwa sayari ambazo zilipewa pia tabia zao. Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]]. Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yaoyake, hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyota [[kumi na mbili|12]] za aina hii zilizorudia kila mwaka kukaa juu kwenye [[anga]] wakati wa mwezi fulani. KundinyotaMakundinyota hizihayo zilichukuliwayalichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa kundinyotamakundinyota zilizoaminiwayaliyoaminiwa kuwa muhimu. Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuw na tabia fulani na mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizi kuwa tabia zilezile na kuwa. Hizi kundivyota za zodiaki ziliunganishwa na athira iliyoaminiwa kutokea kwa sayari ambazo zilipewa pia tabia zao. Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuwa na tabia fulani na mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizo kuwa na tabia zilezile. Hayo makundinyota ya zodiaki yaliunganishwa na athira iliyoaminiwa kutokea kwa [[sayari]] ambazo zilipewa pia tabia zake. Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Hadi leo chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" [[magazeti]] mengi huchapisha namna za [[utabiri]] wa kila [[wiki]] kwa watu kufuatana na [[tarehe]] zao za kuzaliwa.
 
[[Ukristo]] unatazama mafundisho hayo kama [[ushirikina]] na matumizi ya horoskopi kama dhambi dhidi ya [[Amri za Mungu|amri ya kwanza ya Mungu]].
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.best-astrologyinfo.com/index.php Astrology Zodiac]
* [http://wshao.blogspot.com/2007/02/kuna-uhusiano-wowote-kati-ya-sayansi-na.html William Shao: Kuna uhusiano wowote kati ya unajimu na sayansi? (2007)]