Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jabari Orion.png|thumb|400px|Jabari - Orion]]
[[Picha:Orion 3008 huge.jpg|thumb|400px|Nyota za Jabari jinsi zinavyoonekana; juu kushoto iko '''[[Ibuti la Jauza]]''' (Betelgeuse), chini kulia '''[[Rijili ya Jabari]]''' (Rigel) na chini katikati [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula)]]
'''Jabari''' ni [[kundinyota]] inayojulikanalinalojulikana pia kwa [[jina]] lake la kimagharibi la [[:en:Orion (constellation)|Orion]]. Ni [[moja]] ya kundinyotamakundinyota zinazotambuliwayanayotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za JabariiJabari huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka [[duniani]]. Kwa uhalisiuhalisia kuna [[umbali]] mkubwa kati yaoyake, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Jabari" inaonyeshalinaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoionatunavyoliona kutoka Dunianiduniani.
 
==Jina==
Jina la [[Kiswahili]] ni Jabari na linatokana na [[Kiarabu]] <big>[[:ar:الجبار (كوكبة)|الجبار]]</big> ''al-jabar'' ambalo linamaanisha "[[jitu]]". Jina hili lilipokelewalilipokewa na [[Waarabu]] kutoka kwa [[WaaramayoWaaramu]] waliosema ''gabbara'' "jitu"<ref>Allen 1899, Star-names and their meanings, uk. 306 </ref>. Wote walimaanisha hapa tabia ya [[mwindaji]] mkuu na nusu-mungu katika [[mitholojia ya Kigiriki]] aliyeitwa Ὠρίων ''orion'' na hivyo alitajwa katika [[kitabu]] cha [[Almagesti]] cha [[Klaudio Ptolemaio]].
 
==Nyota==
Jabari ni kati ya kundinyotamakundinyota zinazoonekanayanayoonekana vema kwenye anga la [[usiku]] katika [[kusini]] na pia [[kaskazini]] yamwa Dunia. Nyota [[Saba (namba)|saba]] angavu sana zinakumbukwa kirahisi na watazamaji wa anga.
 
Nyota [[nne]] za [[Rijili ya Jabari]] (Rigel), [[Ibuti la Jauza]] (Betelgeuse), Bellatrix and Saiph zinafanya [[pembenne]], na katikati kuna safu ya nyota [[tatu]] za karibu zinazoitwa "ukanda" ambazo ni Alnitak, Alnilam na Mintaka (ζ, ε na δ Orionis). Chini ya nyota za ukanda kuna nyota angavu inayotambuliwa kwa [[darubini]] ndogo kuwa [[nebula]] angavu, hii ni [[Nebula ya Jabari]] (Orion nebula).
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"
Line 96 ⟶ 97:
*[http://stars.astro.illinois.edu/sow/orion-p.html Orion], kwenye tovuti ya Prof Jim Kaler, University of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017
* [https://www.space.com/16659-constellation-orion.html Kim Ann Zimmermann: Orion Constellation: Facts About the Hunter]
{{mbegu-sayansi}}
 
{{Kundinyota za Zodiaki}}
[[Jamii:Kundinyota]]