Tofauti kati ya marekesbisho "Globu ya nyota"

no edit summary
'''Globu ya nyota''' ([[ing.]] ''celestial globe'') ni [[tufe]] inayoonyesha michoro ya [[nyota]] na [[kundinyota]] usoni wake. Kwa hiyo ni kama [[ramani ya nyota]] iliyochorwa juu ya tufe au globu.
 
Ramani za aina hii zilitengenezwa tangu zamani na mfano wa kale iliyohifadhiwa ni globu ya Farnese ya karne ya 2 BK inayomwonyesha shujaa [[Atlasi (visasili)|Atlasi]] anayebeba globu ya nyota kama ishara ya ulimwengu wote mbeganimabegani. Globu za aina hii zilikuwa kifaa muhimu cha mafundisho ya astronomia katika karne zilizopita.
 
Mtazamaji kwa kawaida anahitaji kuwaza ya kwamba yuko ndani ya tufe.
1,064

edits