Nusukipenyo ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Umbali huu hutumiwa kama [[kizio]] katika sayansi ya [[astronomia]] kwa kutaja ukubwa wa magimba kwenye [[anga la nje]] hasa [[nyota]].
 
Mfano wa matumizi yake ni mfumo wa Dunia na Mwezi: umbali kati ya Dunia na Mwezi ni takriban kilomita 384.400 au asilimia 55 za nusukipenyo cha Jua. Kama JunaJua lingechukua nafasi ya Dunia njia ya obiti ya Mwezi ingekuwa ndani ya Jua lenyewe.
 
Kipenyo na hivyo pia nusukipenyo yacha Jua hubadilika kidogo kufuatana na sehemu ya kukipima kwa sababu Jua si tufe kamili. Kwa sababu hiyo kuna ufafanuzi wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] wa kuhesabu nusukipenyo cha Jua kuwa na mita 6.957×10<sup>8</sup> au kilomita 695.700 <ref>[https://www.iau.org/static/resolutions/IAU2015_English.pdf IAU 2015 Resolution B3 on Recommended Nominal Conversion Constants for Selected Solar and Planetary Properties], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
 
Alama yake ni ''R<sub>☉</sub>'' ambakoambapo "R" inamaanisha "[[radius]]" na ☉ ni ishara ya Jua.
 
==Marejeo==