Kifausi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
Kifausi ni kundinyota kubwa karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini na nyota zake za kusini zinaonekana pia katika Afrika ya Mashariki.
 
InapakaInapakana na kundinyota jirani za [[Dajaja (kundinyota)|Dajaja]] ''([[:en:Cygnus (constellation)|Cygnus]])'', [[Mjusi (kundinyota)|Mjusi]] ''([[:en:Lacerta (constellation)|Lacerta]])'', [[Mke wa Kurusi (kundinyota)|Mke wa Kurusi]] ''([[:en:Cassiopeia (constellation)|Cassiopeia]])'', [[Twiga (kundinyota)|Twiga]] ''([[:en:Camelopardalis (constellation)|Camelopardalis]])'' na [[Dubu Mdogo (kundinyota)|Dubu Mdogo]] ''([[:en:Ursa Minor (constellation)|Ursa Minor]])''
 
==Jina==
Mstari 19:
Katika [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] alikuwa mfalme wa [[Ethiopia]] na mume wa malkia Cassiopeia ([[Mke wa Kurusi]]) aliyejivunia kuwa yeye mwenyewe na binti yake [[Mara (kundinyota)|Mara]] ''([[:en:Andromeda (constellation)|Andromeda]])'' ni wazuri kushinda mabinti wa [[Poseidon]] mungu wa bahari. Hapo Poseidon aliamua kumwadhibu kwa kutuma dubwana [[Ketusi (kundinyota)|Ketusi]] dhidi yake. Kifausi pamoja na malkia yake waliamua kumtoa binti Mara (Andromeda) kama sadaka kwa Ketusi kwa kumfunga kwenye ufuko wa bahari ili aliwe na dubwana huyu lakini shujaa [[Farisi (kundinyota)|Farisi]] ''([[:en:Perseus (constellation)|Perseus]])'' akaingia kati na kumwokoa. Baadaye wote waliinuliwa angani kama nyota <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> kwa hiyo tunaona Kifausi (Cepheus) jirani na kundinyota za Mke wa Kurusi (Cassiopeia) na Mara, halafu Ketusi na Farisi aliyekuja kumwokoa Mara katika simulizi la mitholojia.
 
Kifausi ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK kwa jina Kassiopeia. Iko pia katikatika orodha ya kundinyota 88 zinazoorodheshwaya na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Cepheus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UkiaUKIA]] ni 'Cep'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==