Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px|Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar. 12 Juni 2006]]
'''Mwanaanga''' ni mtu anayerushwa katika [[anga laya nje]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]]. Majina mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavti" ([[Kirusi]] космонавт) kwa wanaanga Warusi na "astronauti" ([[Kiing.]] astronaut) wa wanaanga kutoka Marekani. Wachina wametumia neno "taikonauti".
 
Mwanaanga wa kwanza katika historia ya binadamu alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia lote mara moja katika muda wa [[dakika]] 108.