Mwakanuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwakanuru''' (au '''Mwaka wa nuru'''; kwa [[Kiingereza]]: "Light year" <ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Light-year</ref>) ni [[kizio]] cha [[umbali]] kinachotumiwa katika [[fani]] ya [[astronomia]]. Ni kipimo cha umbali ambao [[mwanga]] umeusafiri kwa [[mwaka]] mmoja wa [[dunia]] yaani [[siku]] 365.25.<ref>[https://www.iau.org/public/themes/measuring/ Measuring the Universe The IAU and astronomical units], Tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Julai 2017</ref>.
 
Msingi wa kipimo hiki ni [[kasi ya nuru]]. [[Nuru]] inatembea takriban [[kilomita]] 300,000 kwa [[sekunde]]. [[Idadi]] kamili ni [[mita]] 299,792,458 kwa sekunde moja. [[Mwezi]] wa dunia yetu una umbali na dunia yetu kama sekunde moja ya nuru au kilomita [[lakhi]] [[tatu]] na dunia.