Roketi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Roketi''' ([[Kiingereza]] ''rocket'') ni chombo chenye umbo la bomba kinachopazwa angani kwa nguvu ya gesi inayotoka nje. Tofauti na [[injini ya jeti]] roketi hubeba fueli yote ndani yake kwa hiyo inafanya kazi pia katika [[ombwe]] pasipo na [[oksijeni]] au dutu nyingine inayohitajika kwa kuchoma fueli ndani ya injini yake.
 
Roketi hutumiwa kama [[silaha]] ya kijeshi, kama alama kiashiria katika hali ya dharura, [[fataki]] na kwa [[usafiri wa anga laya nje]].