Mwangaza halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwangaza halisi''' (kwa [[Kiingereza]] ''absolute magnitude'') ni [[kipimo]] cha ukali wa [[nuru]] ya [[nyota]] au [[gimba la angani|magimba mengine ya anga]] jinsi ilivyoitakavyoonekana kwa mtazamaji aliye kwa [[umbali]] sanifu wa [[miaka ya nuru]] 32.6 au [[parsek]] 10.
 
Mwangaza halisi ni tofauti na [[mwangaza unaoonekana]] jinsi tunavyoona nyota kutoka [[Dunia]]. Maana mwangaza tunaoona unategemea na ukubwa wa nyota, umbali wake na mambo mengine. Nyota ndogo na hafifu iliyo karibu nasi katika [[anga la nje]] itaonekana angavu kushindakuliko nyota kubwa iliyo mbali. Hii ni sawa na kuangalia [[taa]] iliyo karibu au mbali.
 
Kipimo hiki kwa kutumia umbali sanifu kinawaruhusu [[wanaastronomia]] kulinganisha uangavuuang'avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
 
{{mbegu-sayansi}}