Afeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Aphelion (PSF).svg|thumb|300px|1. Sayari kwenye afeli yake 2. Sayari kwenye periheli yake 3. Jua]]
 
'''Afeli''' ([[ing.]] ''aphelion'') ni mahali katika [[Njiamzingo|njiamzingo]] ya sayari au [[gimba la angani|magimba mengine ya angani]] ambako ni mbali zaidi na [[jua]]. Jina linatokana na kigiriki από na Ήλιο ''apo'' (mbali) na "helio" (jua).
 
Kinyume chake ni [[periheli]] inayomaanisha sehemu ya njiamzingo iliyo karibu kabisa na jua.