Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
Hamali huwa na nyota angavu 3 hasa zilizotumiwa kwa ubaharia tangu zamani.<ref>[http://www.ianridpath.com/starnames.htm Proper names of stars ], blogu ya mwanastronomia Mwingereza Ian Ridpath, iliangaliwa Juni 2017</ref> Hizi mara nyingi zinatajwa kama Alpha, Beta na Gamma Arietis <ref>"Arietis" ni umbo maalum la jina hili la Kilatini "Aries", lenye maana "ya Aries"</ref>.
 
Alpha Arietis inajulikana kimataifa pia kwa jina la "Hamali" kwa sababu majina mengine ya [[Kiarabu]] yaliyopokelewa na wanaastronomia wa Ulaya. Ni nyota jitu yenye rangi ya kichungwa na [[uangavumwangaza unaoonekana]] wa mag 2.0. Umbali wake na dunia ni [[miaka ya nurumwakanuru]] 66 na [[uangavu haĺisi]] ni −0.1.
 
[[Beta Arietis]] inayoitwa pia Sheratan ina rangi ya buluu-nyeupe na uangavu unaoonekana wa 2.64 ikiwa na umbali wa miaka ya nuru 59 kutoka dunia.
Mstari 73:
| K2 III
|}
 
 
==Tanbihi==