Nyotabadilifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Eclipsing binary star animation 3.gif|450px|thumb|<small>Nyotabadilifu za kupatwa: nyota pacha zinazozungukana na kufunikana hivyo kuleta mabadiliko ya...' |
No edit summary |
||
Mstari 11:
==Historia ya kutazama nyotabadilifu==
Nyota geugeu zilitambuliwa tayari zamani, pale ambako [[watu]] waliangalia nyota kwa utaratibu na kutunza [[kumbukumbu]].
Kuna pia habari katika [[maandiko]] ya [[China]] ya Kale zinazotaja mabadiliko kati ya nyota, ingawa haieleweki kama hii ilihusu [[nyotamkia]], [[nyota nova]] au geugeu.
|