Makemake : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
vyanzo |
Marekebisho |
||
Mstari 6:
==Jina==
Jina lilichaguliwa kutokana na mungu mwuumbaji aliyeitwa "Makemake" katika dini asilia ya [[Kisiwa cha Pasaka]] (''Easter'' ''Island'', kwenye Bahari Pasifiki). Kuna mapatano katika Umoja wa
== Muundo na tabia ==
Hakuna habari nyingi za uhakika kutokana na umbali wa gimba hili na kwa sababu hadi sasa hakuna chombo cha angani kilichopita karibu nayo. Lakini Makemake inaonekana ni hasa mwamba na barafu ilhali katika ubaridi uliopo mbali na jua barafu huwa ngumu kama mwamba.
== Marejeo ==
|