Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 9:
==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha mwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi '''mag'''). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri mwangaza
Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya mag +1,04. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina mwangaza unaoonekana wa mag +0.12
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. Kwa hiyo ongezeko la mwangaza kutoka kizio kimoja hadi
Kuonekana kwa nyota kunategemea mazingira. Tukiwa mjini penye mwanga mwingi tunaona nyota hadi mag 4, tukiwa mashambani penye giza tunaona nyota nyingi zaidi hadi mag 6-7.
|