Tofauti kati ya marekesbisho "Maliki Junubi"

Marekebisho
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{nyota | jina = Maliki Junubi ''(A Leonis, Regulus)''</br><small><small>(mfumo wa nyota 4, tatu zinatambuliwa)</small></small> | picha...')
 
(Marekebisho)
==Jina==
Maliki Junubi inayomaanisha “Mfalme wa Kusini” ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema <big> المليك</big> ''al-malik'' linalomaanisha „mfalme"mfalme". Waarabu waliwafuata hapa Wagiriki wa Kale waliosema βασιλίσκος basiliskos (mfalme mdogo);Jina mbadala ilikuwalilikuwa “moyo wa simba” yaani قلب الأسد qalb al-asad.
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulikubali sehemuumbo yala kwanzaKilatini yala jina la Kiarabu na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Regulus" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref> (yaani mfalme mdogo).
 
Alfa Leonis ni [[jina la Bayer]] maana ina nafasi ya kwanza kufuatana na mwangaza katika kundinyota yake.
 
==Tabia==
Maliki Junubi - Regulus iko kwakatika umbvaliumbali wa miaka ya nurumiakanuru 77.5 kutoka Jua letu. Ina mwangaza unaoonekana wa 1.36 na mwangaza halisi ni -0.2. Spektra yake ni ya [[kundi la spectra|aina ya B7]].
 
Iko angani karibu na mstari wa [[ekliptiki]], hivyo inafunikwa mara nyingi na Mwezi.
Maliki Junubi ni mfumo wa nyota pacha nne au labda zaidi. Nyota kuu ni Regulus A iliyo na rangi ya buluu-nyeupe na masi ya 3.5 Inafuatana na [[nyota kibete nyeupe]] yenye masi ya [[M☉]] 0.3 na zote mbili zinazunguka kwa pamoja kitovu chao cha graviti katika muda wa takriban siku 40.<ref> Rappaport, S.; Podsiadlowski, Ph.; Horev, I. (2009)</ref>.
 
Nyota mbili nyingine ya mfumo huu zinaitwa B na C zikiwa na umbali wa vizio astronomia 5,000 kutoka A.
 
==Tanbihi==