Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

69 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
 
== Historia ya kipimo ==
Chanzo cha vipimo hivi ni kazi ya [[Hipparchos wa Nikaia]] mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]]. <ref name=Belkora19.20>Leila Belkora, ''Minding the Heavens: The Story of our Discovery of the Milky Way'' (Bristol: Institute of Physics, 2003), pp. 19–20</ref> Aliorodhesha nyota kufuatana na uanganvuung'avu akazipanga nyota angavu zaidi kwenye daraja la kwanza, zile zilizonekanazilizoonekana hafifu zaidi katika madaraja ya pili, tatu na kadhalika hadi daraja la sita. Orodha yake ilikuwa msingi wa kitabu mashuhuri cha [[Almagest]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] kilichoendelea kuwa msingi wa utaalamu wa nyota hadi mwisho wa [[ karne ya 16 na kazi za kati]]Nicolaus Kopernikus, Galileo Galilei na Johannes Kepler.
 
Baadaye skeli ya kale ilipanushwailipanuliwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 kiasi cha ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.
 
Mwanzoni nyota ya [[Kutubu]] (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kwamba Kutubu ni [[nyota geugeu]] sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi ([[Shira (nyota)|Shira ''(Sirius)'']], [[Suheli|Suheli ''(Canopus)'']], [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(Rigil Kentaurus, α Cen)'' ]] na [[Simaki|Simaki (Arcturus)]]), Shira ina mag -1.46.
 
Mwanzoni nyota ya [[Kutubu]] (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kwambakuwa Kutubu ni [[nyota geugeu]] sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi (nazo ni Shira [[Shira (nyota)|Shira ''(Sirius)'']], [[Suheli|Suheli ''(Canopus)'']], [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(Rigil Kentaurus, α Cen)'' ]] na [[Simaki|Simaki (Arcturus)]]), Shira ina mag -1.46.
 
== Mifano ya mwangaza unaoonekana==
544

edits