Nyotabadilifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Mabadiliko hayo ya mwangaza yanaweza kutokea katika [[muda]] wa [[saa]], [[siku]], miaka hadi [[karne]] kadhaa. Tofauti zinaweza kuwa ndogo tu au kubwa.
 
Kimsingi kuna hali mbili zinazosababisha nyota kuwa geugeubadilifu:
* sababu za ndani ya nyota, kwa mfano nyota inapanuka na kuwa angavu zaidi halafu kunywea tena
* sababu za nje ya nyota, kwa mfano kuna [[kitu]] kinachopita mbele yake na kupunguza kiwango cha [[nuru]] kinachofika kwetu.
 
Nyota nyingi huwa na kiwango cha geugeubadilifu, hata [[Jua]] letu lina kiwango kidogo cha mabadiliko ya mwangaza wake kwa asilimia 0.1 yanayorudia baada ya miaka 11<ref>[http://adsabs.harvard.edu/abs/2006SSRv..125...53F Fröhlich, C. (2006). "Solar Irradiance Variability Since 1978". Space Science Reviews. 125: 53 ]</ref>.
 
==Historia ya kutazama nyotabadilifu==
Nyota geugeubadilifu zilitambuliwa tayari zamani, pale ambako [[watu]] waliangalia nyota kwa utaratibu na kutunza [[kumbukumbu]]. Maandiko ya [[Misri ya Kale]] iliyoandikwayaliyotungwa mnamo [[mwaka]] [[1200 KK]] ina habari za vipindi vya siku za [[bahati]] nzuri au bahati mbaya. Vipindi hivi vinalingana na vipindi vya geugeubadilifu vya nyota ya [[Rasi Madusa]] (AgolAlgol) wakati ule.<ref>Jetsu, L.; Porceddu, S. (2015). "Shifting Milestones of Natural Sciences: The Ancient Egyptian Discovery of Algol's Period Confirmed". PLoS ONE. 10 (12): e.0144140 (23pp). [https://arxiv.org/abs/1601.06990 online hapa] </ref>.
 
Kuna pia habari katika [[maandiko]] ya [[China]] ya Kale zinazotaja mabadiliko kati ya nyota, ingawa haieleweki kama hii ilihusu [[nyotamkia]], [[nyota nova]] au geugeubadilifu.
 
Lakini [[falsafa]] ya nyakati za kale iliamini ya kwamba [[anga]] halibadiliki,hivyo matukio kama nyotamkia yaliaminiwa kutokea katika [[angahewa]], si angani kwenyewe.
 
Nyota geugeubadilifu ya kwanza iliyotambuliwa katika kipindi cha kisasa kwenye mwaka [[1596]] ilikuwa [[Mira]] (Omikron Ceti) katika [[kundinyota]] ya [[Ketusi (kundinyota)|Ketusi]]. Inabadilika katika kipindi cha miezi 11; wakati wa kuwaka inafikia mag 2 lakini baadaye inafifia hadi mag 11 haionekani tena kwa [[macho]] matupu. Hivyo mgunduzi wake [[David Fabricius]] aliamini mwanzoni ni nyota nova hadi kutambuaalipotambua ni kitu kipya na cha ajabu angani.
 
Mwingereza [[John Goodricke]] alikuwa wa kwanza kutoa maelezo kwaya hali ya kigeugeukibadilifu baada ya kutazama [[Rasi Madusa|Rasi Madusa (Algol)]] akahisi ya kwamba kuna sayari kubwa inayopita mbele yake na hivyo kunpunguza mwangaza wake. Leo hii tunajua hii ni nyota pacha na kuna nyota dhaifu inayozunguka nyota angavu na hivyo kupunguza nuru yake.
 
Idadi ya nyota geugeubadilifu iliongezeka sana tangu kupatikana kwa kamera za kupiga picha za nyota katika karne ya 19. ilirahisishaPicha zinarahisisha ulinganifu wa anga kwa nyakati mbalimbali na kutambua tofauti za mwangaza.
 
Toleo la mwisho wala Orodha ya Nyota GeugeuBadilifu (General Catalogue of Variable Stars)<ref>{{cite journal|bibcode=2001OAP....14..266S|title=General Catalogue of Variable Stars|journal=Odessa Astronomical Publications|volume=14|pages=266|author1=Samus|first1=N. N.|last2=Kazarovets|first2=E. V.|last3=Durlevich|first3=O. V.|year=2001}}</ref> (2008) linataja nyota geugeubadilifu zaidi ya 46,000 katika Njia Nyeupe pamoja na 10,000 katika galaksi nyingine na zaidi zaya 10,00000 zinazodhaniwa kuwa kigeugeubadilifu bila kuthebitishwa badokuthibitishwa.
 
==Aina za nyotabadilifu==
[[Picha:Deimos Crosses Face of Sun.gif|350px|thumb|<small>Mpito wa sayari mbele ya uso wa nyota unapunguza mwanga wake kwa muda; ukipimwa unaleta habari juu ya obiti na ukubwa wake</small>]]
Nyota zinaweza kuonekana geugeubadilifu kwa sababu tofauti.
 
* '''Nyotabadilifu ya kupwita''' ''(pulsating variable stars)''
:Nyota hizi zinapanuka na kunywea; wakati wa kupanuka mwangaza unaongezeka, wakati wa kunywea mwangaza unapungua.
* '''Nyota geugeuNyotabadilifu za kufoka''' ''(eruptive variable stars)''
 
:Kila baada ya muda zinarusha mata kwenye anga kama sufuria ya kuchemsha maji ambakoambapo maji yanatuliwayanatolewa nje ya sufuria. Hapa mwangaza unaongezeka.
* '''Nyota geugeuNyotabadilifu za kulipuka''' ''(cataclysmic or explosive variable stars)''
:NiHasa hasani [[nyota nova]] yaani nyota ambazo zimenywea sana na kuporomoka ndani yake; hatua hii inafuatwa na mlipuko; ambakohapo nyota inatoa nishati nyingi sana kwa muda mfupi.
* '''Nyotabadilifu kiviringi''' ''(Rotating variable stars)''
:Kama nyota ina [[doa ya jua|doa]] kubwa upande moja doa hizihili zinaonekanalitaonekana au kutoonekana kutegemeana na mviringio wa nyota;(linganisha Madoa ya Jua) vilevile kama umbo la nyota si kama tufe itaonyesha mara upande mpana, mara upande mwembamba na hiyvo kutoa viwango tofauti vya nuru
* '''Nyotabadilifu za kupatwa''' ''(eclipsing binaries)''
:Kwa kawaida hizi ni [[nyota pacha]]. Mfano wake mashuhuri ni [[Rasi Madusa|Rasi Madusa (Algol)]] ambayo ni nyota mbili za karibu zinazoonekana kama nyota moja tu. Hizi mbili zinabiringiana. Kama ziko kandokando tunapata nuru ya pande zote mbili, kama nyota yenye mwangaza mdogo inafika mbele ya nyota yenye mwangaza mkubwa nuru inafifia.