Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed typo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 34:
* [[Galaksi]]
* [[Nebula]]
* [[Wingu (anga la nje)|Mawingu katika anga]]
 
Haya yote ni violwa asilia. Vitu angani vilivyotengenezwa na binadamu ni [[vyombo vya angani]] ingawa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya angani vilivyovunjika au takataka kutokana na safari za angani yanastahili kuitwa kwa neno hili.
 
Elimu ya violwa vya angani ni [[astronomia]].