Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
 
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika [[ramani]] ya [[anga]]. Alibuni mfumo wa kutofautisha nyota kwa [[uangavu unaoonekana|Mwangaza unaoonekana]]. Anaaminiwa ni yeye aliyetunga orodha ya nyota iliyotumiwa miaka 300 baadaye na [[Klaudio Ptolemaio]] na kuingizwa katika kitabu chake cha [[Almagesti]] kilichoendelea kuwa kitabu kikuu cha astronomia kwa Waislamu na Wakristo wa Ulaya kwa miaka 1500 iliyofuata.<ref>[http://dioi.org/vols/wc0.pdf Pickering, The Southern Limits of the Ancient Star Catalog and the Commentary of Hipparchos], The International Journal of Scientific History, Vol. 12 2002 Sept ISSN 1041›5440, </ref>
 
Aliweza kukadiria na kutabiri [[kupatwa kwa jua]] .