Salibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina==
Jina "Salibu"<ref>Salibu ni umbo la jina lililorekodiwalinatokana na na [[Jan Knappert]] - taz. Marejeo</ref> latokana na Kiarabu <big>صليب</big> ''(salib)'' ambalo ni tafsiri ya kilatini Crux inayomaanisha "[[msalaba]]". Jina lilibuniwa na mabaharia kutoka Ulaya walipoanza kuzunguka kwenye nusutufe ya kusini ya Dunia baada ya safari ya [[Magellan]] wakafurahi kuona ishara ya dini yao angani.
 
Nyota zake zilionekana tayari kwa [[Klaudio Ptolemaio]] miaka 2,000 iliyopita akazihesabu kuwa sehemu ya Kantarusi (Centaurus). Kutokana na [[badiliko la mwelekeo wa mhimili wa Dunia]] nyota zake hazionekani tena katika nusutufe ya kaskazini. [[Johann Bayer]] alipotunga orodha yake ya nyota bado alizieleza kama sehemu za Kantarusi alipomrejelea Ptolemaio. Lakini jina la Crux lilianza kuenea baadaye na kubaki.<ref>Linganisha Allen, Names of Stars, uk. 185 ff</ref>.