Vega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
'''Vega''' au <big>α</big> '''Alfa Lyrae''' ni [[nyota]] angavu zaidi katika [[kundinyota]] la [[Kinubi (kundinyota)|Kinubi]] (kwa [[Kiingereza]] ''[[:en:Lyra (constellation)|Lyra]]'') na kati ya nyota angavu sana kwenye [[anga]] ya [[usiku]].
 
[[Jina]] latokanalinatokana na [[Kiarabu]] ا<big>لنسر الواقع</big> ''al-nasr al-waqi'', hasa kutoka sehemu ya pili <big>واقع</big> ambamo [[herufi]] ya <big>ق</big> ''q'' ilichukuliwa kama "g" na hivyo kuleta "Vega" kwa [[tahajia]] ya [[Kilatini]]. Hili ni jina lililokubaliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]]<ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya Ukia, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Vega ni [[nyota ya safu kuu]] [[Myeyungano wa kinyuklia|inayoyeyunganisha]] [[hidrojeni]] kuwa [[heliheliamu]] ndani ya [[kiini]] chake. [[Masi]] yake ni zaidi ya mara mbili ya masi ya [[Jua]]. Ilhali nyota kubwa huchoma [[fueli]] yake ya myeyungano haraka kuliko nyota ndogo zaidi Vega itakuwa na [[maisha]] mafupi kuliko Jua. Kwa sasa mwangaza halisi ni mara kumi ya Jua. Inazunguka haraka kwenye [[mhimili]] wake.
 
Hadi sasa [[sayari]] hazikuthibitishwa zinazozunguka Vega hazikuthibitishwa. Lakini kuna [[dalili]] ya kwamba kuna [[mata]] inayozunguka nyota iliyo katika mchakato ya kujikaza kuwa sayari <ref>[https://web.archive.org/web/20081216160151/http://outreach.jach.hawaii.edu/pressroom/1998_vega/ Astronomers discover possible new Solar Systems in formation around the nearby stars Vega and Fomalhaut], tovuti ya outreach.jach.hawaii.edu, iliyohifadhiwa kwa archive.org, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Tanbihi==