Tungamo ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Marekebisho
Mstari 2:
'''Masi ya Jua''' ([[ing.]] ''[[:en:Solar mass|Solar mass]]'') inataja [[masi]] ya [[Jua]] letu ambayo ni takriban [[kilogramu]] 1.99 × 10<sup>30</sup> . Hi inalingana na masi za Dunia yetu mara 332,946.
 
Kiwango hiki hutumiwa kama [[kizio]] katika sayansi ya [[astronomia]] kwa kutaja masi ya magimba kwenye [[anga la nje|anga ya nje]] hasa [[nyota]], [[fungunyota]] na [[galaksi]].
 
Nyota nyingi huwa na masi baina ya x0.1 na x10 ya masi ya Jua. Mara chache kuna nyota kubwa sana yenye masi x250 za Jua. Hivyo Jua letu ikoliko kwenye wastani yawa masi za nyota kati ya [[nyota ya safu kuu|nyota za safu kuu]].
 
Ilhali masi ya Jua inaendelea kupungua polepole kutokana na mnururisho na [[upepo wa Jua]] kuna ufafanuzi wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] wa kuhesabu masi ya Jua kuwa [[kilogramu]] 1.9891×10<sup>30</sup><ref>[https://www.iau.org/public/themes/measuring/ Measuring the Universe - The IAU and astronomical units], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Novemba 2017</ref>.