Vostok : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Vostok spacecraft.jpg|thumb|Mfano wa chombo cha anga Vostok pamoja na sehemu ya juu ya roketi]]
'''Vostok''' (kwa [[Kirusi]] Восто́к, ''mashariki'') ilikuwa [[jina]] la mradi wa kwanza wa [[usafiri wa anga la -nje]] uliofaulu kupeleka [[binadamu]] kwenye [[anga la -nje]] na kuwarudisha tena salama.
 
Ilikuwa mradi wa [[Umoja wa Kisovyeti]] ulioshindana na mradi wa [[Mercury]] wa [[Marekani]]. [[Mwanaanga]] [[Yuri Gagarin]] alikuwa binadamu wa kwanza aliyerushwa juu katika chombo [[Vostok 1]] tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] na kuzunguka [[dunia]] mara [[moja]] katika anga la -nje kwa [[kimo]] kati ya [[kilomita]] 315 na 169.
 
Mradi wa Vorstok ilikuwa na [[safari]] [[sita]] za kupeleka wanaanga nje ya [[angahewa]] ya [[Dunia]] kati ya 1961 na [[1963]]; safari ndefu ilidumu siku [[tano]] ambapo [[Vostok 6]] ilimpeleka mwanaanga [[Valentina Tereshkova]] aliyekuwa [[mwanamke]] wa kwanza katika anga la -nje.
Mradi ulitumia [[roketi]] za kijeshi zilizobeba [[chomboanga]] chenye sehemu [[mbili]]
Mstari 12:
Wakati wa kurudi wanaanga walirushwa kutoka dambra wakarudi ardhini kwa [[parachuti]].
 
[[Jamii:Usafiri wa anga la -nje]]
[[Jamii:Umoja wa Kisovyeti]]
{{wikinyota}}