Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] kilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa safari ya [[Apollo 8]] tarehe [[24 Desemba]] [[1968]]. Safari hii ilipeleka mara ya kwanza watu hadi uga wa graviti ya Mwezi na kuuzunguka.]]
'''Mwezi''' ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]] fulani. Kuna miezi mingi katika [[anga la -nje]],. lakiniVipindi maarufuvya zaidikuonekana nikwa mwezi wa Dunia vilisababisha matumizi ya "Mwezimwezi" unaozungukakama [[Dunia]]majira yetu.ya wakati.
 
Mabadiliko ya kuonekana kwake yalisababisha katika [[Kiswahili]] [[neno]] "mwezi" litumike kama kipindi cha wakati. Awamu zake nne pengine ndizo chanzo cha [[Juma|majuma]] ya [[siku]] [[Saba (namba)|sabasaba]].
Mstari 9:
Sayari inaweza kukosa mwezi au kuwa na miezi mingi. [[Mshtarii]] ina miezi zaidi ya 60, mingine mikubwa kama sayari ndogo, mingine midogo yenye [[kipenyo]] cha [[km]] 1 tu. [[Dunia]] yetu ina mwezi m[[moja]] tu. [[Utaridi]] haina mwezi.
 
Mwezi hauna [[nuru]] ya kwake wenyeweyenyewe bali unang'aa kutokana na nuru ya [[jua]] inaoakisiwainayoakisiwa usoni mwake kama kwenye [[kioo]].
 
'''Sayari yenyezenye miezi''' katika [[mfumo wa jua]]:
* [[Dunia]]: mwezi 1
* [[Mirihi]]: miezi 2
Mstari 65:
{{Mfumo wa jua na sayari zake}}
{{Mbegu-sayansi}}
{{wikinyota}}
 
[[Jamii:Sayari]]
[[Jamii:Gimba la angani]]