William Herschel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Friedrich Wilhelm Herschel''' (kwa Kiingereza: '''Frederick William''', [[15 Novemba]] [[1738]] – [[25 Agosti]] [[1822]]) alikuwa mtungaji wa muziki na mwanaastronomia kutoka nchini [[Ujerumani]] aliyeishi na kufanikiwa [[Uingereza]].
 
Alipata umaarufu hasa kama mgunduzi wa [[sayari]] ya [[Uranus]]. Kasoko moja kwenye [[Mwezi]] ilipewa jina la Kasoko ya Herschel kwa heshima ya michango wakeyake, pamoja na kasoko kwenye [[Mirihi]] na kwenye mwezi [[Mimas]] wa [[Zohali]].
 
==Maisha==
Herschel alizaliwa katika familia ya Walutheri katika utemi wa Hannover kwenye kaskazini ya Ujerumani<ref>leo katika [[Saksonia Chini|Jimbo la Saksonia Chini]]</ref>. Familia ilikuwa ya asili ya Kiyahudi kutoka [[Moravia]]. Babake alikuwa mwanamuziki katika bendi la jeshi la mtemi. Wakati ule watemi wa Hannover walikuwa pia wafalme wa Uingereza. Wilhelm alimfuata baba kama mpiga filimbi wa [[oboe]] na [[fidla]] kattikakatika bendi ya kijeshi. Kwa njia hii kijana Wilhelm alifika Uingereza kwa umri wa miaka 19 alipobaki na kuendelea kuishi.
 
Herschel aliendelea na kazi ya muziki akaendelea kuwa kiongozi wa bendi hadi kushika nafasi ya mkurugenzi wa muziki katika mji wa [[Bath]] alipoishi pamoja na dadake Caroline. Alikuwa pia mpiga [[kinanda za filimbi]] kanisani. Alitunga muziki ya kiroho na ya burudani.
Mstari 14:
 
==Ugunduzi wa sayari Uranus==
Mwaka 1780 aliweza kugundua [[sayari]] ya [[Uranus]]. Hii ilikuwa sayari ya kwanza iliyogunduliwa tangotangu nyakati za kale na hadi wakati ule haikujulikana. Ugunduzi huu ulimsababisha kupokelewa kwake katika Shirika la Kifalme la Sayansi pamoja na mshahara uliomwezesha kutumia wakati wake kwa sayansi. Katika miaka iliyofuata alichaguliwa kama mwanachama katika shirika mbalimbali za kisayansi za Ujerumani na Marekani. Mnamo 1820 alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Shirika la Kifalme la Astronomia la Uingereza. Alipokufa mwaka 1822 marafiki waliweka kwenze jiwe la kaburi yake maneno ya Kilatini "Caelorum perrupit claustra" (Alivuka mipaka ya anga)
 
==Michango mingine katika sayansi==
Mstari 62:
[[Jamii:Waliozaliwa 1638]]
[[Jamii:waliofariki 1722]]
{{wikinyota}}