Sayari-nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nadharia za awali
No edit summary
Mstari 4:
Mnamo mwaka 2017 zaidi ya sayari za nje 3000 zinazozunguka [[nyota]] mbalimbali zilitambuliwa tayari. <ref>{{cite web|url=http://exoplanetarchive.ipac.caltech.edu/cgi-bin/ExoTables/nph-exotbls?dataset=planets|title=Exoplanet Archive Planet Counts|publisher=}}</ref><ref name="kepler1700">{{cite web |last1=Johnson |first1=Michele |last2=Harrington |first2=J.D. |title=NASA's Kepler Mission Announces a Planet Bonanza, 715 New Worlds |url=http://www.nasa.gov/ames/kepler/nasas-kepler-mission-announces-a-planet-bonanza/ |date=February 26, 2014 |work=[[NASA]] |accessdate=February 26, 2014 }}</ref><ref>{{cite web|url=http://phl.upr.edu/projects/habitable-exoplanets-catalog|title=The Habitable Exoplanets Catalog - Planetary Habitability Laboratory @ UPR Arecibo|publisher=}}</ref>
 
Kwa muda mrefu sayari nje ya mfumo wa Jua letu hazikujulikana. [[Giordano Bruno]] aliwaza mnamo karne ya 16 ya kwamba kuna dunia nyingi katika anga sawa na Dunia yetu.<ref>Eli Maor (2013), uk 198</ref> [[Isaac Newton]] alifikiri pia ya kwamba sayari zinaweza kuwepo nje ya mfumo wetu. Lakini haikuwezakana kuthebitishakuthibitisha nadharia hizi.
 
Hadi [[miaka ya 1990]] [[idadi]] kubwa ya [[wanaastronomia]] bado walihangaika kama sayari za nje ziko au la. Mwaka [[1992]] watafiti [[Aleksander Wolszczan]] na [[Dale Frail]] waliofanya [[kazi]] ya [[astronomia ya redio]] walitangaza kugunduliwa kwa sayari [[mbili]] zinazozunguka [[nyota tutusi]] (''pulsar'') [[PSR 1257+12]].<ref name="Wolszczan">{{Cite journal | last1 = Wolszczan | first1 = A. |bibcode=1992Natur.355..145W| last2 = Frail | first2 = D. A. | doi = 10.1038/355145a0 | title = A planetary system around the millisecond pulsar PSR1257 + 12 | journal = Nature | volume = 355 | issue = 6356 | pages = 145–147 | year = 1992 | pmid = | pmc = }}</ref> Miaka michache baadaye taarifa hii ilithibitishwa na wagunduzi wengine.